Ofa ya wiki hii: Usafirishaji BURE kwa oda kuanzia TZS 1,000,000 · Bei za ofa zinaisha baada ya: Usafirishaji BURE oda 1M+ · Inaisha: --:--:--
DSM (Kimara–Ubungo) & Mwanza (Nyanza SC) · Made in Tanzania
Mtengenezaji Mkuu wa Workwear Tanzania

VAA KWA USALAMA.
VAA KUPENDEZA.

Umechoka kutafuta mavazi ya kazi ya ubora unaodumu? MSG tunakuletea nguo za kazi, sare, na vifaa vya usalama (PPE) vilivyo bora — bei ya moja kwa moja, usafirishaji wa haraka, na uwekaji chapa kamili.

✓ OSHA Compliant ✓ Made in Tanzania ✓ 48hr Production ✓ Saizi S–3XL + Oversize
1,500+Wateja Waliohudumiwa
50,000+Watu Waliolindwa
87+Aina za Bidhaa

Tunachokupa

Hi-Vis Workwear & Coveralls
Reflective, FR options, mechanic suits
Uniforms za Kampuni
Corporate, medical, security, hoteli, shule
PPE Kamili
Helmets, boots, gloves, harness, masks
Uwekaji Chapa & Ubinafsishaji
Embroidery, screen printing, heat transfer
Bidhaa Zetu

PPE & Workwear — Lipa Mara Moja, Linda Daima

Saizi S hadi 3XL + Oversize · Uwekaji chapa maalum · Usafirishaji DSM & Mwanza. Bonyeza bidhaa kuagiza au kuomba bei.

Kwa Nini MSG

Tunachokupa Hakuna Mwingine Anayetoa

Tunatengeneza — Sio Kuagiza tu

MSG inatengeneza nguo za kazi hapa Tanzania. Bei bora, haraka zaidi, ubora unaodhibitiwa.

Matawi Mawili — DSM & Mwanza

Tunatumikia Tanzania nzima kutoka Kimara–Ubungo (DSM) na Nyanza SC (Mwanza).

Muda Mfupi — Hadi Masaa 48

Bidhaa za stoo: siku 3–7. Oda maalum au zenye chapa: siku 10–21. Tunajua thamani ya muda wako.

Uwekaji Chapa Kamili

Logo yako, rangi zako — unyanjari (embroidery), uchapishaji (screen printing) na uhamishaji kwa joto, kwa bidhaa zote.

Bei Wazi na za Ushindani

Orodha kamili ya bei ya bidhaa 87+. Bei nafuu zaidi kwa oda za wingi.

100% Tanzanian

Wafanyakazi, shareholders na directors ni Watanzania 100%. Tunajua mahitaji ya Tanzania.

Bei Zetu vs Soko

MSG Inatoa Zaidi Kwa Bei Ndogo

Tunalinganisha bei zetu na bei za wastani za soko Tanzania — na ubora haupunguzwi.

BidhaaWastani wa SokoMSGOkoa
Coverall / OverallTSh 75,000–90,000TSh 57,000Hadi 37%
Safety HelmetTSh 20,000–30,000TSh 15,000Hadi 50%
Hi-Vis Vest ExecutiveTSh 15,000–25,000TSh 10,000Hadi 60%
Safety BootsTSh 70,000–90,000TSh 50,000Hadi 44%
Medical Scrubs SetTSh 75,000–100,000TSh 55,000Hadi 45%
Security Uniform SetTSh 130,000–180,000TSh 95,000Hadi 47%
Chef Uniform SetTSh 100,000–140,000TSh 75,000Hadi 46%

* Bei za soko ni makadirio ya wastani. Oda za wingi zinapata bei nafuu zaidi.

Omba Quotation

Pata Bei Yako Kwa Dakika 5

Tengeneza oda yako, jaza fomu — timu yetu itakupigia ndani ya saa 2 za kazi. Kupata bei ni bure kabisa.

Kikapu Chako

Ongeza bidhaa kutoka orodha hapa chini — jumla inahesabika moja kwa moja.
Kikapu ni tupu. Chagua bidhaa kutoka orodha hapo chini na ubonyeze "Ongeza".
Tasnia
Ujenzi
Madini
Afya
Usalama
Hoteli
Ofisi
Uwekaji Chapa (kwa mavazi)
Hapana
Mbele pekee (+4,000)
Mbele & Nyuma (+7,000)
Huwekwa kwenye mavazi pekee · Mbele: Unyanjari · Nyuma: Uchapishaji
Makadirio ya Bei — Bei zote HAZIJUMUISHI VAT
Bidhaa (jumla)—
TZS 15,000
Subtotal (kabla ya VAT)—
VAT 18%—
Jumla (VAT inc.)— TZS
Haya ni makadirio. Bei rasmi itatolewa na timu ya MSG kulingana na mahitaji yako. Usafirishaji wa kawaida ni TZS 15,000 — ni BURE kwa oda kuanzia TZS 1,000,000 (kabla ya VAT).

Maelezo Yako

Habari zako zinakaa siri · Majibu ndani ya masaa 2 · Bure kabisa
Tafadhali andika jina lako.
Tafadhali andika jina la kampuni.
Andika namba sahihi ya simu (tarakimu 9+).
Barua pepe si sahihi.
Tafadhali chagua aina ya biashara.
Tafadhali chagua mji wako.
Tafadhali andika anwani ya kupelekea.
Kwa kutuma, unakubaliana na Sera ya Faragha ya MSG.
✔

Asante! Ombi lako limepokelewa.

Kumb. Na: —

Timu ya MSG itawasiliana nawe ndani ya masaa 2 ya kazi. Bonyeza hapa chini kuendelea WhatsApp moja kwa moja.

Endelea WhatsApp
Tusaidie kukua — itachukua sekunde chache tu
Wanaotuamini

Imani Iliyojengwa Kwa Matendo

Kati ya wateja 1,500+, hawa ni baadhi ya wanaotuamini kote Tanzania na Afrika Mashariki.

Swissport Tanzania
Faisan Aggregates
Olasiti Investment
Bluebay
Suncom Oil
Sigma Gas & Engineering
Global Survey
Petronite
Takbiir Enterprises
Xceed Auto Express
Fighters Electrical
Fasm
Jengea Kwetu
Lake Electrical
Magoda Bambuu
Rhome Kitchen
Wateja Wanasema

4.8 ★ — Maoni 127

★★★★★

"MSG wamekuwa wakitupatia workwear yenye ubora wa hali ya juu. Ninachopenda zaidi ni uimara wa bidhaa zao na jinsi wanavyoelewa mahitaji ya mteja."

BS
Bw. Beda Samweli
Beda Tractor Spare Parts · TZ
★★★★★

"Tumefanya kazi na MSG kwa zaidi ya miaka 3. Kila oda ya Safety Suits na Overcoats imekidhi viwango tulivyotarajia. Ni washirika tunaowaamini."

GR
Bw. Grayson
Auto Village Co. Ltd · TZ
★★★★★

"Workwear na PPE kutoka MSG ni sehemu muhimu ya programu yetu ya usalama kazini. Bidhaa zao ni bora na huduma yao ni ya kitaalamu."

RO
Bw. Rodgers
Greenlink Energy · Kenya
Maswali

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, mnaweza kuweka logo ya kampuni yangu? +
Ndiyo. Tunafanya unyanjari (embroidery), uchapishaji (screen printing) na uhamishaji kwa joto wa logo na rangi za kampuni yako kwenye bidhaa zote.
Itachukua muda gani kupata oda? +
Bidhaa zilizopo stoo: siku 3-7. Oda maalum au zenye chapa: siku 10-21. Kwa baadhi ya bidhaa, uzalishaji unaweza kukamilika ndani ya saa 48.
Mnafikisha mikoani na nje ya nchi? +
Ndiyo. Tunasambaza Tanzania nzima kutoka matawi ya DSM na Mwanza, na pia tunafikisha nje ya nchi (Afrika Mashariki).
Malipo yanafanyikaje? +
Kwa oda maalum na za wingi, tunahitaji malipo ya awali ya asilimia 60 ili kuanza uzalishaji, na asilimia 40 iliyobaki hulipwa wakati wa kukabidhi bidhaa. Utaratibu huu unatuwezesha kununua malighafi na kuhakikisha oda yako inakamilika kwa wakati.
Oda ndogo kabisa ni ngapi? +
Tunashughulikia oda kuanzia kipande 1 hadi zaidi ya 10,000. Kadiri idadi inavyoongezeka, ndivyo bei inavyokuwa nafuu zaidi.
Je, bidhaa zenu zinakidhi viwango vya OSHA? +
Ndiyo. Bidhaa zetu zinakidhi viwango vya OSHA Tanzania (Cap. 297), hivyo kampuni yako inabaki ndani ya sheria za usalama kazini.
Matawi Yetu

Tuko Karibu Nawe — DSM & Mwanza

Makao Makuu - HQ

Dar es Salaam

148148 JP Magufuli Rd, Kampendeza St., Kilungule A, Kimara-Ubungo, DSM 16106

Simu: +255 710 200 700 · +255 777 200 700

Email: sales@msg.co.tz

Jumatatu-Ijumaa: 8:00-17:00 · Jumamosi: 8:00-13:00

WhatsApp DSM →

Tawi la Kanda ya Ziwa

Mwanza

Nyanza Shopping Center, Shop No. 48, Mwanza, Tanzania

Simu: +255 710 200 900 · +255 775 200 700

Email: mwanza@msg.co.tz

Jumatatu-Ijumaa: 8:00-17:00 · Jumamosi: 8:00-13:00

WhatsApp Mwanza →

Tayari Kuvalisha Timu Yako?

Pata quotation ya bure leo na uone tofauti ya ubora wa MSG.

Omba Quotation ya Bure →
💬